Leo JUNE 15 BASI LA TAHMEED LATEKETEA KWA MOTO MCHANA HUU Basi la abiria mali ya Kampuni ya Tahmeed, lililokuwa likitokea Jijini Tanga kuelekea Jijini Dar es salaam, likiteketea kwa moto mchana huu katika eneo la Komkonga. Inaelezwa kuwa Ajali hiyo imetokea...
Mamlaka ya mawasiliano TCRA yenye dhamana ya kusimamia shughuli za mawasiliano ya kielektroniki Tanzania wameta tamko la mwisho juu ya wanaoendelea kutumia simu bandia kwamba ifikapo siku ya tarehe 16 june saa sita usiku simu zote feki hazitafanya kazi...
Ni siku moja imepita toka timu ya taifa ya Brazil iondolewa katika michuano ya Copa America 2016 kwa kufungwa goli 1-0 na Peru. Brazil walifungwa goli dakika ya 75 na Raul Ruidiaz, goli ambalo linaaminika kufungwa kwa mkono kitu ambacho kilifanya refa...
Kamanda wa Polisi kanda maalum Dar es salaam Simon Sirro aliesema: ’Hili kosa lipo muda mrefu, ukienda kwenye sheria za adhabu kwa nchi yetu kufanya mapenzi kinyume cha maumbile ni kosa la jinai na tumekuwa tukiwakamata watu‘ ‘Kilichokuwa kinakosekana...
Chriss brown amekuwa mmoja kati ya mastaa wa mbele waliojinunulia scootbikes na kuzibadilishaa kabisaa mwonekano wake kwa upigaji wa rangi,ambapo inasemekana upigaji wa rangi wa scootbikes ni ghali kuliko scootbikes yenyewe. Scootbikes hugharimu kiasi...
June 14/2016 nyota wa soka Samuel Eto,o amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi Georgette Tra Lou ambaye pia ni mama wa watoo wake. Ndoa ya Eto'o imefanyika nchini Italia katika eneo la Stezzano.
Muda mfupi baada ya club ya Manchester United kumsajili mchezaji Eric Bertrand Billy mchezaji huyoo alikabidhiwa gari mpyaa na kampuni ya magari Chevrolet inayotoa udhamini kwa club hiyoo
Arsenal Bournemouth Burnley Chelsea Crystal Palace Everton Hull City Leicester City Liverpool Manchester City Manchester United Middlesbrough Southampton Stoke City Sunderland Swansea City Tottenham Hotspur Watford West Bromwich Albion West Ham Msimu...
Picha za alivyoagwa bondia marehem Muhammad Ali na watu zaid ya 14,000
BERBATOV'S BEST BITS AT MAMCHESTER UNITED