June 15 2016
Written by Chube and from Overblog
June 14/2016 nyota wa soka Samuel Eto,o amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi Georgette Tra Lou ambaye pia ni mama wa watoo wake. Ndoa ya Eto'o imefanyika nchini Italia katika eneo la Stezzano.