Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
CHUBE BOY

BRAZIL WAAMUA KUMTIMUA DUNGA BAADA YA KUTOLEWA COPA AMARICA

Ni siku moja imepita toka timu ya taifa ya Brazil iondolewa katika michuano ya Copa America 2016 kwa kufungwa goli 1-0 na Peru. Brazil walifungwa goli dakika ya 75 na Raul Ruidiaz, goli ambalo linaaminika kufungwa kwa mkono kitu ambacho kilifanya refa achelewe kufanya maamuzi.

Jana June 14 2016 Brazil wametangaza maamuzi mapya ya kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi hicho Carlos Dunga, baada ya timu yao kutolewa mapema na timu iliyo nafasi ya 48 wakati wao wakiwa nafasi ya 7 katika viwango vya FIFA.

BRAZIL WAAMUA KUMTIMUA DUNGA BAADA YA KUTOLEWA COPA AMARICA
Share this post
Repost0
To be informed of the latest articles, subscribe:
Comment on this post