Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
CHUBE BOY

je wajua adhabu ya kosa la mapenzi ya jinsia moja TZ

je wajua adhabu ya kosa la mapenzi ya jinsia moja TZ

Kamanda wa Polisi kanda maalum Dar es salaam Simon Sirro aliesema:

’Hili kosa lipo muda mrefu, ukienda kwenye sheria za adhabu kwa nchi yetu kufanya mapenzi kinyume cha maumbile ni kosa la jinai na tumekuwa tukiwakamata watu‘

‘Kilichokuwa kinakosekana ni suala tu la taarifa lakini ukipatikana hukumu yake ni kubwa inategemea na hakimu, kama sikosei ni kuanzia miaka miaka mitano, sita mpaka saba jela, hili sio kosa la miezi miwili jela’

Share this post
Repost0
To be informed of the latest articles, subscribe:
Comment on this post